N ngarambe Senior Member Joined Apr 15, 2012 Posts 100 Reaction score 14 Apr 25, 2012 #1 Jaman naomba msaada, nilikua na download music. Nilivyomaliza nikataka kuplay nyinbo zote zikagoma mpaka video haziplay. Pia ring tone nilokua nimeweka imebadilika na kuita kwa tone ambayo ni ya simu. Naomba msaada
Jaman naomba msaada, nilikua na download music. Nilivyomaliza nikataka kuplay nyinbo zote zikagoma mpaka video haziplay. Pia ring tone nilokua nimeweka imebadilika na kuita kwa tone ambayo ni ya simu. Naomba msaada
K kpmaster Member Joined Apr 24, 2012 Posts 6 Reaction score 1 Apr 25, 2012 #2 Ungerestart,au kutoa betr kabisa then rudishia,memory card itakuwa ilistuck
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Apr 25, 2012 #3 tupa hiyo,nunua nyingine
Vodka JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 906 Reaction score 96 Apr 25, 2012 #4 Ina virus nenda ka scan hyo mchina nin?
Lord K JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 213 Reaction score 37 Apr 26, 2012 #5 iweke kwenye maji.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Apr 26, 2012 #6 Tafuta mteja haraka...
OTIS JF-Expert Member Joined Sep 7, 2011 Posts 2,252 Reaction score 839 Apr 26, 2012 #7 I reset mkuu Itakuwa safi OTIS