msaada blackberry inakata network nikiwa nabrowse.

msaada blackberry inakata network nikiwa nabrowse.

deecharity

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
936
Reaction score
515
Habari.. Hili tatizo limeanza hv karibuni yani kila nikiwa nabrowse baada ya muda net inakata then mpaka nireboot ndio inarudisha network... Ni blacberry 9870.
 
Mtandao gani unatumia?na umejaribu kuswitch service providers na kuona kama kuna utofauti?
 
Nimejaribu ila tatizo liko pale pale natumia airtel
 
Ni Blackberry 9780 sio?
Ondoa 3G weka 2G..
 
Yap ni model hyo let me try... Ila inamaana sitaenjoy 3G anymore.
 
Back
Top Bottom