Rihana
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 498
- 250
Wakuu naomba msaada nimenunua hivi karibuni simu blackberry bold 9900 cha kushangaza inakunywa betry balaa...nimeingia kwenye advanced settings options na analysis inayofanya ni kwambwa inanyonya asilimia 5% ya chaji kwa saa....nikichaji asubuhi saa moja by saa nane haina kitu..... Nimeangalia battery saving tips kama vile kuzima wifi, blue tuth, near field communication, kutoa vibration na ringtone lakini wapi......nimeangalia literature mbalimbali kwenye mtandao...watu wanasema kwa kuwa hiyo simu ni nyembamba size ya betri huenda inazidiwa na operationg system kwa kuwa hiyo ni mashine nzito sana...cha kushangaza bando ya blackberry ikiisha ndiyo inakunywa chaji balaa masaa matano hamna chaji....nimejaribu kubadilisha betri kuweka mpya lakini mambo ni yale yake......je hii inaweza kuwa tatizo la operating system?????? Em fungukeni wakuu