Msaada blackberry bold 9900 inakunywa betri balaa....

Msaada blackberry bold 9900 inakunywa betri balaa....

Battery pia inaweza kuwa siyo imara, jaribu kuagiza battery mpya uone kama ni the same
 
Nimecheka sana, naona umeweka msisitizo hapo....ungemwambia tu MllimaniCity angeweza kuuliza ndio ipo wapi!!
msisitizo ni muhimu si unajua JF inasomwa na hata watu waliopo colombia?
 
na pia usipende kutumia vibration inakula sana betri also kwenye profile tumia medium profile and not normal ile normal ina mlio wa sauti kubwa na yenyewe inakula betri,un check "cell broadcast" uncheck "wifi" when not in use..angalia social networks apps zako jaribu kuweka synchronization au auto-update mda mrefu na sio mda mfupi mfupi like 30minutes weka angalau an hour ivi..install app inaitwa "application resource monitor" yenyewe ina close any app ambao hujaitumia for more than an hour ivi ili isiendelee kula betri at the background but you still remain logged in and get notifications(twitter&facebook etc)lastly do not over charge ur phone (1-2 hours enough)...aya yote maushauri ni kama simu yako, chaja na betri ni genuine...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom