Msaada: Black screen baada ya window upgrade

Msaada: Black screen baada ya window upgrade

Njia ipi iliyokufanikisha mkuu ,?
niliiwasha katika safe mode then nikaenda setting baadae nikaenda kubadili screen resolution ndio ilikubali. so the major issue was screen resolution. kwa sasa inapiga kazi fresh kabisa and am enjoying full features za windows 10
 
Msaada hapa, kwenye pc yangu inayo run win 8 nimepata tatizo la pc kuonesha blue screen kama hivi.
 
Back
Top Bottom