Msaada Black berry yangu inatoa warning ya AJABU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Black berry yangu inatoa warning ya AJABU

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sikiolakufa, Sep 10, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  simu yangu ya blackberry ni mpya haina hata mwaka, inafanya kazi vizuri haina tatizo lolote...leo asubuhi saa mbili kamili imetoa mlio wa warning huku inionesha alama kama ya betri ya gari yenye + na - ikisema battery service, battery service....nimeangalia perfomance ya battery ni nzuri mno chaji inaweza kukaa hata wiki je hii warning ni ya nini
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Betri yako inakaribia kuchoka,nunu nyingine
   
Loading...