Msaada: Binti wa kisomali anitoa roho

Upo chuoni kusoma, tambua kilichokupeleka hapo, Huu ndo msaada wangu Kwako! MAPENZI ni B, unatakiwa uulize mambo ya msingi....

Watu ambao mnauliza kuhusu MAPENZI kwa kweli mnatakiwa msiyape kipaumbele, sio fungu lenu! Haya nenda discussion!

Kwa sababu unauliza una kosa skills za muhimu sana, ukiyaanza hautawezana! Usije kutuulia msomali wetu!

Msimshauri huyu sio Baharia!
 
Ni wanawake expensive sana , wengi wao wamekeketwa, na kichwani zimo, sikushauri Sana kuanzisha mapenzi we komaa na shule yako,
Hard but fair!

Sent
 
Mkuu kuhusu masomo sina tatizo ndio maana sijaja na tatizo lihusulo masomo
By the way Shukran!
 
Shukrani mkuu!
Kwan usomali kitu gani.....ndoano zile zile unazowatumia dada zako wa mwakaleli na litapwasi....ndo hizo hizo zitamnasa hata huyo msomali.........!!!!!! Ungawa wengi wao wanakua mademu wa magaidi wa alshabaab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…