kasuku mtu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 321
- 94
- Thread starter
- #41
AsanePoleni Sana,Mungu awasaidie naamini atapatikana.
AsanePoleni Sana,Mungu awasaidie naamini atapatikana.
Asante nduguMungu akawafanyie wepesi mumpate. Huko aliko afunguke kwa jina lipitalo majina yote Jina la Yesu. Nafungua nira zote za kuzimu na mipango yote ya Shetani akawe huru na kurudiwa na fahamu arudi Nyumbani kwa Jina la Yesu.
Halafu kuna watu wanaweka jokes kwenye majaribu ya wengine acheni ombeni yasiwakute
Okmkimuona mtuambie pia