Msaada: Binti amepotea maeneo ya Tabata

Msaada: Binti amepotea maeneo ya Tabata

Kasuku mtu mlikuwa wapi mtoto kapotea toka tar 20 feb ndo mnaibuka leo!!?
Polis walikua wanazungusha sana sasa na mimi nilikua mafinga nimefata biashara zangu narudi ndio napewa habari msaada wenu mama yake ni mama yangu mdigo tena mjane na anawatoto wawili tu yeye na mdogo wake
 
Dah, Sandra si Umenambia umepewa ruhusa kwenu wewe??? kumbe umetoroka? Aaah
Ona sasa umeshanipa msala ah
 
Jamani naombeni msaada wenu maana mama yaje bint anateseka sana
 
Back
Top Bottom