Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
Haya nenda kwa huyo mtaalamu kisha utupe mrejesho.
Poa nifah za siku?
Nzuri mkuu, bado tupo kwenye mapambano ya mabadiliko.
Niko napeleka kwa geologist,
Huyo ni msoshalisti Vladimir Lenin akiwa ameshikilia Bolshevik revolution act
Hadi sasa naelekea kwa mtalaamu mwanzoni nilizania kijerumani!!
Binamu yangu ameokota hiki kitu mithili ya shillingi kubwa lakini lugha na material Iliyotengenezewa siifahamu. Tashukuru sana maana hapa tunahisi isije kuwa Freemason wanatutafuta. Ameikota mlimani.
Binamu yangu ameokota hiki kitu mithili ya shillingi kubwa lakini lugha na material Iliyotengenezewa siifahamu. Tashukuru sana maana hapa tunahisi isije kuwa Freemason wanatutafuta. Ameikota mlimani.
Mungu wangu kuna mtoto wa kaka yangu aliokota kama iyo akaenda kuuza pale kkoo alipata milion 98, alinunua kiwanja akajenga nyumba na gari na biashara juu akafungua ni pm nikuelekeze
Mkuu hebu ingia kwa ndani kabisa. Hii shilingi imepatikana vipi mlimani?