Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,817
- 5,403
Kwa tsh 100,000 naweza kufanya biashara ya viatu,sendo za wadada?
1. Nahitaji kuanza kufanya hii biashara kwa kuanzia na mtaji wa laki moja tu. Nipate viatu, sendo, simpo za wadada au wakaka niuze Kwa bei ya kawaida tu (chini ya elfu 7).
Kama kuna wauzaji humu wa bei ya jumla karibuni. Bidhaa ziwe nzuri na ambazo ziko sokoni(zinazotrend)
Bei iwe nzuri ili nikiuza nipate faida nzuri angalau nusu kwa nusu..
Nipo Dodoma