Ddc ndo mtaa gani huo...tupe connection vzurNenda mwenge kwa sapro maasai kiatu pair moja 4,500 vya kike vya kiume 6,500 vya watoto 3,000
Unaweza kuchukua vya kike 10 (4,500x10= 45,000)
Vya kiume 5 (6,500x5= 32,500)
Vya watoto 5 (3,000x5= 15,000)
TOTAL =92,500
Kwenye 100,000 inabaki 7,500 hiyo kianzio ya kutembea maji kidogo, nauli
Faida it depends na bei za wateja wako
Kama vya kike unaweza kuuza 10,000-7,000 faida kwenye 5,500 kwa 2,500 kwa pair 10 faida itakua kati ya 55,000 kwa 25,000
Vya kiume 15,000 kwa 12,000 faida 8,500 kwa 5,500
Vya watoto 7,000 kwa 5,000 faida 4,000 kwa 2,000
Nb: chukua vya kike vingi sababu wanawake ndio wanawanunua wengi usikopeshe kwasababu ndio unaanza hadi pale mtaji ukikaa sawa ndio unakopesha mtu analipa buku buku kila siku au unakopesha kwa week week
Au nenda kkoo mtaa wanaouza viatu vingiii ddc kwa mbele kidogo kuna maduka ya ndani ndaniii na chini kuna viatu vya jumla vingiii vizuri chagua vya sasa kuna vya 2,500/2,700/3,000 kuna vya 6,000/7,000 vya kichina lakini
Unamix vya bei ndogo na vya bei ya kati
Viatu muda na siku gani huwa wanauza apo karume....Npo kutafuta space nfanye hyo businessKwa mtaji ulionao kwa viatu vya mchina kidogo utapata pc chache sana mana bei ya pc 1 huwa shilingi elfu tatu au elfu moja na miatano ila kwa viatu unavyotaka kuuza wewe unatakiwa upate vile vya sh elfu tatu hadi elfu tatu na miatano ndio vizuri hivyo unatakiwa ujiongeze.Ila mtaji huo huo unaweza kufanya biashala ya viatu vya mtumba ambavyo ukienda karume pale ni kupointi na bei huwa ni sh elfu moja hadi elfu na miatano na ndio biashala ambayo hata ukiwa na mtaji wa elfu hamsini unatoboa mana kile kimoja ukishakiweka sawa unauza hadi elfu 8 ndio biashala ambayo niliifanya mwaka jana mwanzoni ila kwa sasa nimeacha ila ni biashala ambayo ni ya uhakika si unaona pale mwenge wanauza mpka elfu 15 kiatu cha buku jero kalume
Ni siku zote za wk ndugu yangu kikubwa uweze kudamka mana ukichelewa utakuta wenzako wameshachagua vimebaki malonyaViatu muda na siku gani huwa wanauza apo karume....Npo kutafuta space nfanye hyo business
Ok...ntajitahid ata saa 11 alfjir niwe pale,vipi ni karume eneo gani huwa wanavimwaga.Ni siku zote za wk ndugu yangu kikubwa uweze kudamka mana ukichelewa utakuta wenzako wameshachagua vimebaki malonya
asubuhi naona kuanzia saa moja/mbiliUbarikiwe dada mfano ukitaka kuchanga uchukue unatakiwa uwaone wa kina Nani na muda SAA ngapi
Binafsi viatu vyangu ninavyovaa hakuna cha chini ya 100k how wewe unatatumia 100k kama mtaji wa Single Pair??😀😀
Binafsi viatu vyangu ninavyovaa hakuna cha chini ya 100k how wewe unatatumia 100k kama mtaji wa Single Pair??😀😀
Hi ... Huo mtaa wa viatu vya mchina Kariakoo unaitwaje tafadhaliNenda pale mtaa wa viatu vya mchina kariakoo kuna kina aina ya viatu new brands na bei zao ni reasonable kwa mkoani unaweza kuuza zaidi ya mara mbili yake.Zaidi njoo PM nina experience kidogo na biashara ya viatu vya spesho na mtumba pia.
kituo cha mwendokasi msimbazi B mtaa unaotizamana na kituoHi ... Huo mtaa wa viatu vya mchina Kariakoo unaitwaje tafadhali