Msaada biashara ya real estate

Msaada biashara ya real estate

kakhulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
784
Reaction score
1,075
Wadau naomba msaada wa mawazo kuhusu hii biashara ya kujenga na kupangisha nyumba(apartment).
 
Nina uzoefu na biashara hii, kwa sasa ni changamoto sana.
Kwanza wapangaji wa siku hizi ni locals kwa asilimia kubwa, kodi/rent zimeshuka sana tofauti na siku za nyuma, upatikanaji wa wapangaji ndio shida kubwa inayoikabili biashara hii. Ila kama umelenga eneo zuri lenye usalama wa kutosha, una parking kubwa na una msimamizi mzuri uta enjoy sana. Usijaribu kujenga kwa mkopo wa benki utajuta.
 
Wadau naomba msaada wa mawazo kuhusu hii biashara ya kujenga na kupangisha nyumba(apartment).
Unajenga nyumba ya 50mil unapangidha mtu anakulipa lak3...hahahahhaha

Hyo 50m ukinunua boda boda 25 ukapeleka pembezon mwa mji kwa mwez anakupa 280

280×25=7000000

Inamana ndan ya mwaka 7000000×12=84000000

Ukiweka management nzur hyo hela unaipata fasta..or els bora uweke bond ya serikal. ..unapata zaid ya 300k kwa mwez

Hahahah...sema hesab za makaratas...ila kuna jiran yangu hapa ana daladala 50...na mwingne namfaham ana boda boda 29...yeye kubadil gar kwa trends si kitu cha kushangaza...mim najikongoja pia..mwez huu naongeza magol mengne 4..so ntakua na more than10+ magol ya biashara...

Akil kwako mkuu.....

Hyo biashara kama una umre zaid ya 60 ndo inakufaa..ilaa kwa kijana..haifai unless ua making 4m+ monthly
 
hizo hesabu zako kidogo uende kama wale motivational speakers

mkuu kila biashara ina changamoto zake, izo boxer zako vijana wanakuaga wagumu sana kutoa hesabu kwa wakati alafu kuna vi service vya hapa na pale, unaweza kumaliza mwaka na aujarudisha ela yako
 
Back
Top Bottom