Asili ya watanzania niwatu wachoyo wasiopenda watanzania wenzao kuendelea kwa faida ya nchi yao..
Jamaa kaomba connection kapata ilaa kapatia connection inbox wakati connection hiyo kaiombea hapahapa jukwaani... Wengine wanaomba the same thing ila aliyepata connection ha replied
Nimeiona hii hali hata zambia. Zambia wanachukua mzigo kutoka China wanatumia banadari yetu bado wanasafirisha mzigo kwa malori zaid ya kilomita 2000 na bado bei za bidhaa zao ziko chini. Kiatu tunachouziwa elfu80 Dar zambia kinauzwa elfu38. It’s ******disgrace!
Nimeiona hii hali hata zambia. Zambia wanachukua mzigo kutoka China wanatumia banadari yetu bado wanasafirisha mzigo kwa malori zaid ya kilomita 2000 na bado bei za bidhaa zao ziko chini. Kiatu tunachouziwa elfu80 Dar zambia kinauzwa elfu38. It’s Where We Dare To Talk Openly!