Mkuu haitokulipa biashara ya CD inakufa si muda mrefu kama ilivyokuwa kwa tape za radio, hizo movie za kikorea zilizowekwa kwenye CD zilizotafsiliwa zina mvuto pale tu zinapoonyeshwa kwenye mabanda ya filamu.
Ni mara mia uwawekee kwenye flash na external CD utafeli ni maoni yangu