Msaada: Betri Dell latitude d620 haizidi 48% ya chaji

PHILE1879

JF-Expert Member
May 6, 2013
633
469
Jana nilinunua battery mpya kutoka dukani.Saa 11 Jioni nikaiweka chaji lakini haivuki 48%
Tatizo ni Nini?
Nifanyeje?
Msaada tafadhali.
 
ukaaji chaji upoje? sometime ni meter tu haisomi vizuri. na hilo battery umepewa warranty hata ya mwezi? lirudishe dukani wakupe jengine.
 
bila shaka ni shida ya voltage angalia vyema battery na adapter zina range sawa
 
Back
Top Bottom