Msaada: best hosting plan kwa website yenye heavy traffic

jmdume

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
317
301
Habari zenu wakuu wataalamu wa haya mambo ya web hosting... Naomba kufahamu.. Hosting plan ipi?? (kutoka kampuni za hosting za mbele/kama vile hostigator nk...) hosting plan ipi ambayo inaweza ku accommodate site(WordPress site) inayo hit up to 500 - 3000 online visitors (real time visitors/min/sec) ... Au 100k - 200k + page views per day

Kwa mfano kutoka hostigator...ni hosting plan ipi inaweza kuwa suitable kwa WP SITE KAMA HII... MSAADA PLZ WAKUU
 
Hizo namba zako hazifanani 100k per day ni kama 1 user/second sio 500-3000.

Kwa ajili ya 3000/second utahitaji dedicated/Cloud servers probably at least mbili, App na DB server na hiyo probably haitatosha na itabidi ubadili architecture nzima ya Wordpress kudeal na hiyo load.
Kama unaweza kumanage mwenyewe angalia AWS, DigitalOcean, OVH etc. Kama hauwezi kumage itabidi upate managed dedicated servers angalia OVH, Hertzner au SiteGround Dedicated.

Kwa 100k page views ni manageable zaidi angalia hizo hizo site ila itakuwa server cheap zaidi.
 
Asante sana boss... Nashukuru sana ... Ngoja niendelee kufuatilia... Hiyo 100k nimekadiria sababu najua online users inafluctuate per seconds..... Ili kufikia hiyo 100k...
 
Back
Top Bottom