Msaada bei ya TV flat screen aina yoyote bajeti 500,000

Msaada bei ya TV flat screen aina yoyote bajeti 500,000

Cainan

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
477
Reaction score
572
Habarini za usiku ndugu,

Naomba kuuliza kwa 500,000 ,nahitaji TV flat screen kuanzia inches 43-45 naweza kupata kampuni gani kati ya aborder, Panasonic, TCV au Samsung.

Naombeni msaada kwa mwenye kujua hizo info.

Asante
 
Habarini za usiku ndg
Naomba kuuliza kwa 500,000 ,nahitaji TV flat screen kuanzia inches 43-45 naweza kupata kampuni gani ...kati ya aborder, Panasonic, TCV au Samsung

Naombeni msaada kwa mwenye kujua hizo info .. Asante
Labda mtumba mkuu, 43 inch ni around 700,000 kwa hizo brand kubwa ikiwa sio smart, na smart kuanzia laki 8.
 
Tunduma sehemu gani?
Tunduma ili ununue vitu kwa bei rahisi lazma uwe mjanja mjanja sana na uwe na mtu lacvyo unaweza ukalia pale.
Ata simu mwanzon zilikuwa bei rahisi sana ila kwa sasa mpka upate za bei za kulenga kabisa lazma ujuane na wadau.
 
Kwa mgeni anayetaka kununua hiyo tv uloyosema hapo juu unamshaurije...
 
Kwa mgeni anayetaka kununua hiyo tv uloyosema hapo juu unamshaurije...
Nying zinakuaga used cjui jamaa wanazitoaga wap, unakuta ni used alaf kali kweli kweli kuna jmaa wang alishawahi kuotea akaja nayo mbeya mjn akaipga bei siku hyo hyo mtu alipofikia dau
 
Kwa mgeni anayetaka kununua hiyo tv uloyosema hapo juu unamshaurije...
kama una pesa jikunjue tu nenda dukani vitu vya kulenga zinahitaji umakn na kama n mpya nahis wakipiga ng'ambo ndio zinauzwa kwa bei rahisi tz
 
Back
Top Bottom