Habari! Wakuu naomba msaada wa bei kwa simu tajwa hapo juu dondoo au mwenye duka k/koo ambae anauza kwa bei ya jumla au mtu yayote anaelijua chimbo kwa hizi simu maana naonaga wale jamaa huwa kuna sehemu wanaenda nunua kwa bei iliyopoa hawa ma winger sasa nataka kufahamu bei za huko chimbo kwa simu tajwa.
Tecno Spark K7
Tecno Spark K9
Tecno Spark K2
Tecno Cx Air
Ahsanteh.
Tecno Spark K7
Tecno Spark K9
Tecno Spark K2
Tecno Cx Air
Ahsanteh.