Msaada: Bei ya mashine ya kutengeneza tambi

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,739
2,913
Habarini wadau,

Naomba utalaam wa kutengeneza tambi (bites) na zile za kupika je mashine zake naweza kupata kwa sh ngapi, je naweza kutengeneza bila mashine hizo bites za tambi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom