Msaada: Battery ya Apple IPhone 4S

Msaada: Battery ya Apple IPhone 4S

katutumla

Member
Joined
May 27, 2010
Posts
42
Reaction score
11
Wakuu, nina Apple IPhone 4S. Naona toka jana nikichaji baada ya kuchomoa tu chaji inaniambia "battery low, shutting down". Nahisi battery imekufa kwani wakati wa kuchaji inaonyesha chaji inaingia hadi asilimia 100. Sasa kwa mwenye battery mpya tuwasiliane PM akitaja bei na gharama za kufunga. Awe DSM tafadhari maeneo ya katikati ya jiji ili iwe rahisi kwangu kumpata.
 
battery ya iphone 4s dar utaumia, ni zaidi ya laki. kama imetokea ghafla tu huenda tatizo siyo battery, jaribu kutumia charger nyingine (original), wakati mwingine huwa zinazingua, ukiona bado jaribu kufanya hard reset. ukiona bado agiza battery ebay, kkufunga unafunga mwenyewe (labda kama ni mwanamke au mzee ndiyo utashindwa)
 
Nimejaribu kufuatilia naona inatatizo jingine tu kwani inajizima,kisha baada ya masaa machache ukiiwasha inawaka tena na kuendelea kufanya kazi kama kawaida. Nimepitia setting zote naona zipo kawaida tu. Nadhani inanipa dalili ya kuanza kutafuta simu nyingine. Hiyo hard reset haikubali.
 
iPhone huwa haifi kirahisi mkuu. Hard reset haikubali vipi mkuu? nina imani ukiirudisha factory default itarudi kuwa mpya. umeinstall iOS version gani?
 
Inapojizima hata nikijaribu hard reset haikubali. Hard reset ninayoizungumzia ni kubonyeza power on/lock button na home button kwa pamoja kwa muda. Lakini ikikaa kwa muda kama masaa matatu hivi nikiiwasha inakuwa haina chaji hata kama wakati ilipozima ilikuwa na chaji ya kutosha. Hata hivyo nimejaribu kutafuta chanzo nahisi pengine ni line niliyoweka. Mwanzo nilikuwa natumia MICRO SIM ya Airtel, lakini juzi niliweka line ya kawaida ya Zantel ndipo tatizo likaanza. Hivi sasa naichaji ili nirudie ile Micro SIM ili nione kama tatizo litaendelea. I appreciate your concern on this issue brother. You' re welcome for more advice.
 
Back
Top Bottom