Gogo la choo JF-Expert Member Joined Oct 8, 2012 Posts 708 Reaction score 293 Mar 4, 2014 #61 Rural Swagga said: Si bora huyo kuna Maboya flani wanakaa kulee ukiwa unakaribia Mizani mpya kuna kama kamlima hivi....huwa wanafanyaga kurukia njiani kama maninja..huwa nawapa pesa za bandia Click to expand... Ahahahahahahaaaa....!!!njaa zitawaua hawa watu..hela yenyewe ikizidi sn buku 5 halafu fake..duuh..!!
Rural Swagga said: Si bora huyo kuna Maboya flani wanakaa kulee ukiwa unakaribia Mizani mpya kuna kama kamlima hivi....huwa wanafanyaga kurukia njiani kama maninja..huwa nawapa pesa za bandia Click to expand... Ahahahahahahaaaa....!!!njaa zitawaua hawa watu..hela yenyewe ikizidi sn buku 5 halafu fake..duuh..!!
SUPERUSER JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 960 Reaction score 308 Mar 4, 2014 #62 Achana na michina...panda klm kitu marcopolo zina booster... kweny bumps/ diversion huskii kitu..magar yao masafi pia
Achana na michina...panda klm kitu marcopolo zina booster... kweny bumps/ diversion huskii kitu..magar yao masafi pia