Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,150
- 17,003
Natumia mtandao wa tigo. Kila nikiweka bando kwa ajili ya kuperuzi linaisha ndani ya dk5 hata ziwe GB1. Kinachotokea nikwamba nikiweka tu bando simu inaanza kupokea notification za ajabu ajabu na kujidownloard apps ambazo hata sijaziomba.
Sasa naomba msaada wa kutoka kwenye huu mtego.
Msaada tafadhali. Natanguliza shukrani
Sasa naomba msaada wa kutoka kwenye huu mtego.
Msaada tafadhali. Natanguliza shukrani

