Bornvilla
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 924
- 272
Background kwenye adobe photo zimejifunga na nimeshindwa kufungua kabisa. Nimejaribu kugoogle lakini njia ninazopata hazisaidii kabisa Ku unlock background. Nimejaribu Ku double click na kuweka layer lakini wapi! Na hii ndio njia niliyoikuta kwenye mitandao.Natumia window ya ultimate. Natumaini hapa JF nitapata msaada wa tatizo hili.