Mtwakulyalam Chotipango
Member
- Mar 19, 2018
- 83
- 54
Asante kwa ushauri mkuu,kuhusu kulipa nilishasema nitalipa mwanzoni mwa mwezi wa NNE,tena hata sio laki tano nataka nilipe m1 kabisa,Mzee alichosema yeye ni kwamba hataki hela nusu,anasema kama inawezekana nichukue hiyo hela niitunze kwa mtu ikitimia ndo nimpatie!!
Hapana sio kumuachia babamkwe harusi I meant sendoff!!kuhusu kulipa mahali nilipangiwa kama 3.5 nilipa nikabaki nadaiwa 1.5 kwa sababu harusi ni late June,nilipanga mshahara wa mwezi wa NNE nilipe angalau m.1 putting in mind uchumi kidogo uko tight ila Mzee kagoma kabisa anasema anataka hela take yote,hicho ndo kinanikwamisha.Kuka likee...kimsingi na kiutaratibu...ulitakiwa ujiandae kwanza kwny suala la maharii...malizana nao kwanza...kumbuka mkweo ana haki ya kuidai yote.TUsifanye kama formalities kuwa mahari haitolewi yote...kimsingi ni busara tuu ya kiafrika huwa inatumika..
At least ungetoa hata robo tatu..kwa wazee wengine huchukulia kuwa hicho ulichokifanya ni dharau..kumbuka umeshakaa na binti yake mwaka mzima na "kumzalisha" bila ridhaa yake,na bado ulipoamua kufuata taratibu unasuasua..Sijui kama umelipishwa faini.
Ila,kama umepangiwa mahari milioni 2..lipa hata 1.7 basi.
Suala la harusi ni lako muaoji.Sijui imekuwaje mpaka ukakubali kumuachia baba mkwe kama ulivyosema kwny uzi wako wa msingi...utadharaulika siku mkizinguana na mkeo....(Mark my words)
Asee hata mambo kabla ya kutia miguu uko ndani unaona ni mambo ya kawaida,ukishaingia mziki wake naona hauchezeki kirahisi!!pole sana mkuu ila mdogomdogo tutavuta wake tu.mkuu sheedah uliyo nayo ndyo niliyo nayo mimi, na kwa uelewa wangu mdogo nilio nao, itakuwa ngumu kidogo ukienda tofauti na baba mkwe anavyo taka, binfsi nimepeleka mahali mwezi ulio anza juzi mean tarehe 5/3/.... posa nilipiga mahesabu ya laki , washenga 30,. pamoja na nauli nilikuwa na bajeti ya laki mbili na nusu, ila nilicho kikuta kule ni tofauti kabisa na nilicho pigia mahesabu, nashukuru mungu nilkuwa na hakiba kama ya laki tano pembeni bila hivyo ninge adhilika mbele ya wazee pengine na kumkosa mke kabisa. Nime waahidi kuwapelekea mali kidogo mwezi wa nane , kwahiyo mbaka mda huu nachart na wewe sijapoa bado kwenye hili suala....., kibarua nilichokuwa nategemea kingeniweka sawa kidogo ili mwezi wa nane niwe mwepesi kusafiri kwenda mkoani kwa wakwe kimeyumba tayari mean nipo natafuta kazi. kichwa changu cha moto kuliko hata wewe mkuu.
Jitahidi umpatie Baba Mkwe hela yake ili ndoa yenu ipate kuwa na baraka.
Ni kweli mdogomdogo but sheedah niliyo nayo mkuu mie tayari nilisha haribu na week mbili zijazo na pokea kidume duniani, nina shughuli nzito aseh,Asee hata mambo kabla ya kutia miguu uko ndani unaona ni mambo ya kawaida,ukishaingia mziki wake naona hauchezeki kirahisi!!pole sana mkuu ila mdogomdogo tutavuta wake tu.
Ok nmekuelewa...ila mbn mahari kubwa hivyoo...siingilii makubaliano yenu...lkn kitaratibu lzm kwnz umalize suala la mahari,then ndio taratbu nyingine zifuate..provided km ndio kiwango mlichokubaliana basi huna budi kutekeleza...ilitakiwa mwanzo kama unaona ni kubwa sn kulingana na uwezo wako ungesema mapema...sometimes kuomba heri sio kujishusha/kujidhalilishaHapana sio kumuachia babamkwe harusi I meant sendoff!!kuhusu kulipa mahali nilipangiwa kama 3.5 nilipa nikabaki nadaiwa 1.5 kwa sababu harusi ni late June,nilipanga mshahara wa mwezi wa NNE nilipe angalau m.1 putting in mind uchumi kidogo uko tight ila Mzee kagoma kabisa anasema anataka hela take yote,hicho ndo kinanikwamisha.
Hapa kidogo kwa maelezo yako nahisi kama ulichemka...ulitakiwa upate kwanza taratibu za huko ukweni kwako..lkn umenishangazA ulipoandika washenga 30...inawezekanaje hii ?mkuu sheedah uliyo nayo ndyo niliyo nayo mimi, na kwa uelewa wangu mdogo nilio nao, itakuwa ngumu kidogo ukienda tofauti na baba mkwe anavyo taka, binfsi nimepeleka mahali mwezi ulio anza juzi mean tarehe 5/3/.... posa nilipiga mahesabu ya laki , washenga 30,. pamoja na nauli nilikuwa na bajeti ya laki mbili na nusu, ila nilicho kikuta kule ni tofauti kabisa na nilicho pigia mahesabu, nashukuru mungu nilkuwa na hakiba kama ya laki tano pembeni bila hivyo ninge adhilika mbele ya wazee pengine na kumkosa mke kabisa. Nime waahidi kuwapelekea mali kidogo mwezi wa nane , kwahiyo mbaka mda huu nachart na wewe sijapoa bado kwenye hili suala....., kibarua nilichokuwa nategemea kingeniweka sawa kidogo ili mwezi wa nane niwe mwepesi kusafiri kwenda mkoani kwa wakwe kimeyumba tayari mean nipo natafuta kazi. kichwa changu cha moto kuliko hata wewe mkuu.
Bajeti ya laki mbili na nusu...ulienda kupeleka posa/kujitambulisha au kulipa mahari...maana naona hivi vitu vnachanganywaa...mkuu sheedah uliyo nayo ndyo niliyo nayo mimi, na kwa uelewa wangu mdogo nilio nao, itakuwa ngumu kidogo ukienda tofauti na baba mkwe anavyo taka, binfsi nimepeleka mahali mwezi ulio anza juzi mean tarehe 5/3/....
posa nilipiga mahesabu ya laki , washenga 30,. pamoja na nauli nilikuwa na bajeti ya laki mbili na nusu, ila nilicho kikuta kule ni tofauti kabisa na nilicho pigia mahesabu, nashukuru mungu nilkuwa na hakiba kama ya laki tano pembeni bila hivyo ninge adhilika mbele ya wazee pengine na kumkosa mke kabisa.
Nime waahidi kuwapelekea mali kidogo mwezi wa nane , kwahiyo mbaka mda huu nachart na wewe sijapoa bado kwenye hili suala....., kibarua nilichokuwa nategemea kingeniweka sawa kidogo ili mwezi wa nane niwe mwepesi kusafiri kwenda mkoani kwa wakwe kimeyumba tayari mean nipo natafuta kazi. kichwa changu cha moto kuliko hata wewe mkuu.
washenga ni 30. nikimaansha walikuwa washenga wawili, kila mmoja ni 15, wawili ni 30. mahali nimepangiwa 2,50,000/=Hapa kidogo kwa maelezo yako nahisi kama ulichemka...ulitakiwa upate kwanza taratibu za huko ukweni kwako..lkn umenishangazA ulipoandika washenga 30...inawezekanaje hii ?
Duh! pole sanaHata sio Mchaga mkuu kanda ya ziwa!!
Ndiyo nilienda kujitambulisha mean (kutoa posa kwa lugha nyingine.)Bajeti ya laki mbili na nusu...ulienda kupeleka posa/kujitambulisha au kulipa mahari...maana naona hivi vitu vnachanganywaa...
Nimeandika hapa kuomba maoni nashukuru sana mkuu mnanipa mwanga.Ok nmekuelewa...ila mbn mahari kubwa hivyoo...siingilii makubaliano yenu...lkn kitaratibu lzm kwnz umalize suala la mahari,then ndio taratbu nyingine zifuate..provided km ndio kiwango mlichokubaliana basi huna budi kutekeleza...ilitakiwa mwanzo kama unaona ni kubwa sn kulingana na uwezo wako ungesema mapema...sometimes kuomba heri sio kujishusha/kujidhalilisha