Kwema.!?aisee mimi naishi na mwanamke ambae alikua muathirika akaanza matumizi ya dawa na sikumuacha nilimpa sapoti nzuri tu na nampenda sana nilikubali lolote.,baada ya miezi 6 siku ya kwenda kuangalia hali ya maambukizi hakuwa nayo kabisa hii inatokana na nini.!?tukapima upya vipimo vyote bado haikusoma hii imekaaje.!?
Akitumia dawa vizuri wajamaa wakazirai hata kavu kavu unakula bila madhara,akiona amepona na kuacha masharti vijamaa vinaamka upyaKwema.!?aisee mimi naishi na mwanamke ambae alikua muathirika akaanza matumizi ya dawa na sikumuacha nilimpa sapoti nzuri tu na nampenda sana nilikubali lolote.,baada ya miezi 6 siku ya kwenda kuangalia hali ya maambukizi hakuwa nayo kabisa hii inatokana na nini.!?tukapima upya vipimo vyote bado haikusoma hii imekaaje.!?
Viral load haiwezi kufanya ukimwi usiwepo viral load below 50cp? Ndiyo ukimwi uondoke? Huo ni uongo uliadhahiriViral load imepungua
Nani amekuambia ukimwi unapona? Umekumywa wanzuki au pombe za bei rahisi?Akitumia dawa vizuri wajamaa wakazirai hata kavu kavu unakula bila madhara,akiona amepona na kuacha masharti vijamaa vinaamka upya
Mkuu Zipo dawa zakuponyesha Ukimwi mimi mwenyewe nimesha waponyesha Wagonjwa wa ukimwi na wamepona kwa kutumia dawa zangu za asili. Usidanganyike na Maelezo ya Ma-Daktari wanavyosema Eti Ugonjwa wa Ukimwi hauna dawa ni uongo kabisa hakuna maradhi yasiyokuwa na dawa yake.Nani amekuambia ukimwi unapona? Umekumywa wanzuki au pombe za bei rahisi?
Tell me how mkuu usibwabwaje hapaMkuu Zipo dawa kuponyesha Ukimwi mimi mwenyee nimesha waponyesha Wagonjwa wa ukimwi na wamepona kw akutumia dawa zangu za asili. Usidanganyike na Maelezo ya Ma-Daktari wanavyosema Eti ukimwi hauna dawani uongo kabisa hakuna maradhi yasiyokuwa na dawa yake.
Weye ndio wale waponyaji wa miujiza au?🤨Mkuu Zipo dawa kuponyesha Ukimwi mimi mwenyee nimesha waponyesha Wagonjwa wa ukimwi na wamepona kw akutumia dawa zangu za asili. Usidanganyike na Maelezo ya Ma-Daktari wanavyosema Eti ukimwi hauna dawani uongo kabisa hakuna maradhi yasiyokuwa na dawa yake.
Nikwambie nini?Tell me how mkuu usibwabwaje hapa
Nikwambie nini?
Kwanza kabisa Ukimwi sio Sio ugonjwa hakuna ugonjwa unaoitwa ukimwi duniani. Ukimwi maana yake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI). Na Mimi sitibu kwa kutumia miujiza sina miujiza ninatibu kwa kutumia dawa za Asili kwani Mungu ametumbia kila maradhi hayakosi na kuwa na dawa yake. Amkeni .......Wenye ndio wale wapinzani wa miujiza au?🤨