Msaada baada ya kushindwa usaili wa TAESA

Msaada baada ya kushindwa usaili wa TAESA

Mark ilkuwa chin ya 50%? Hapo nimeuliza cha kufanya wanasema unasubr mwezi ulofanya interview upite then omba tena mwezi wa 10. Ila unaweza nichek wats app ili nikusaidie zaid jins ya kupita n interview yao 0769463786 only kwa msaada tu kama hautajali
Nilipata 49
 
Ndugu zangu nimefail interview ya Taesa vipi naweza kurudia upya? Nimekaa nimefikiria Kila kitu nilikijibu sawa lakini status inasoma fail nifanyaje nirudie interview
Nimejaribu kubook training upya system inakataa
Msaada
Subiria interview zikiwepo unafanya booking tena
 
Kama kuna mwenye shida kuhusu taesa kuanzia kufungua account mpka kupata interview anaweza aaknitafuta kwa wats app kwana namba 0769463786 naona wenye uhitaji wapo wengi tupo kwa ajili ya kusaidiana ili maisha yasonge mbele kila mtu afike anapopataka. Ahsanten karbuni sana.
 
Hivi portal ya Taesa bado iko active? maana kila nikijaribu ku-register account inagoma!
 
Back
Top Bottom