Msaada baada ya kushindwa usaili wa TAESA

Msaada baada ya kushindwa usaili wa TAESA

Ndugu zangu nimefail interview ya Taesa vipi naweza kurudia upya? Nimekaa nimefikiria Kila kitu nilikijibu sawa lakini status inasoma fail nifanyaje nirudie interview
Nimejaribu kubook training upya system inakataa
Msaada
Kwanza polee sana pia rudia kufanya tena ili ujue ulikosea wapi hapo mwanzo hii itakusaidia kujiamini na kufanya vizuri hiyo interview
 
Kama umefail, kwani ukijaribu kufungua account mpya kwa kutumia emil mpya ujisajiri tena upya as if hujawah jisajiri itakua na shda?.. nahis inawezekana. Nmewaza tu hiv.

Nakufuata pm mkuu,
 
Kama umefail, kwani ukijaribu kufungua account mpya kwa kutumia emil mpya ujisajiri tena upya as if hujawah jisajiri itakua na shda?.. nahis inawezekana. Nmewaza tu hiv.

Nakufuata pm mkuu,
Haiwezekani Kwa sababu ya nida itaonyesha ilishatumika
 
a18de95c-caf5-4b9a-b110-6797fcde80af.jpg
 
Ndugu zangu nimefail interview ya Taesa vipi naweza kurudia upya? Nimekaa nimefikiria Kila kitu nilikijibu sawa lakini status inasoma fail nifanyaje nirudie interview
Nimejaribu kubook training upya system inakataa
Msaada
Mbona tukijaribu kucreate account TAESA inazingua?
 
Jamani naomba msaada niki mark hpo kwnye hiko kibox ndo tayar nimesubmit au Kuna procedure nyingine...maana nili mark toka wiki iliyopita alaf ckupata majibu Hadi Leo.
Screenshot_20230920-134704.jpg
 
Jamani naomba msaada niki mark hpo kwnye hiko kibox ndo tayar nimesubmit au Kuna procedure nyingine...maana nili mark toka wiki iliyopita alaf ckupata majibu Hadi Leo. View attachment 2755851
Rudi pale kwenye dashboard Kuna taarifa unatakiwa ujaze then unatakiwa uattach na vyeti vya taaluma hakikisha unajaza taarifa zote hizo hapo kwenye dashboard
 
Ndugu zangu nimefail interview ya Taesa vipi naweza kurudia upya? Nimekaa nimefikiria Kila kitu nilikijibu sawa lakini status inasoma fail nifanyaje nirudie interview
Nimejaribu kubook training upya system inakataa
Msaada
umefanya interview lini kaka?
 
Mimi ni dada nimefanya interview tarehe 07 September
Mark ilkuwa chin ya 50%? Hapo nimeuliza cha kufanya wanasema unasubr mwezi ulofanya interview upite then omba tena mwezi wa 10. Ila unaweza nichek wats app ili nikusaidie zaid jins ya kupita n interview yao 0769463786 only kwa msaada tu kama hautajali
 
Back
Top Bottom