Msaada: baada ya kuroot tecno W4 imeniletea maandishi haya

Msaada: baada ya kuroot tecno W4 imeniletea maandishi haya

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,937
Reaction score
3,054
Nilikuwa najaribu kuroot kwa kutumia SP FLASH ,TWRP ,SUPERSU nikafuata maelezo but sijui nimekose wapi kidogo ikaleta maandishi ya namna hii kwenye pc[emoji116]
IMG_20170714_170524.jpg

Ikaniambia format all nilipobofya format all nikaona simu haiwaki kabisa
IMG_20170714_170532.jpg
 
Ushauwa

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Labda ujaribu kudownload firmware mpya kutoka kwenye site yao then uiweke uone.

Otherwise subiri wataalam wanakuja au nenda PM ya Mwl. RCT

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Labda ujaribu kudownload firmware mpya kutoka kwenye site yao then uiweke uone.

Otherwise subiri wataalam wanakuja au nenda PM ya Mwl. RCT

Nothing is easier than blaming others for your own problems
Ndo nataka nikajaribu kuweka room then niflash [emoji24] [emoji24]

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Nina crack wacha nitumie crack

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
NCK NITAFANIKISHA ?

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom