Njia rahisi ya kuroot Tecno Spark K7

Tzhacker 000

JF-Expert Member
Dec 11, 2017
658
686
Kama ni mgeni wa kuroot soma hizi kwanza

Jinsi ya ku unlock bootloader kwenye tecno
Twende sasa

MAHITAJI

Kompyuta

Recovery

Super SU

Vcom drivers

SP flash tool

Baadhi ya mahitaji yapo kwenye makala za nyuma,kwahiyo hapa tutakupa Recovery na Super SU tu. Pakua TWRP ,ipo mfumo wa rar,ndani ya hiyo rar kuna faili 2 ndani,SuperSU-v2.82.zip na TWRP.rar.

Hapo chukua SuperSU hamishia kwenye hifadhi zako iwe ya ndani au hifadhi ya kumbukumbu[memory card] kisha utafungua faili la TWRP ili kupata ile scatter file,ukishafungua zima simu yako na kisha chukua kompyuta yako nenda kwenye flash tool tafuta ile scatter file ielekeze kwenye Download

Ikishakaa bofya Download na Recovery itakua imekaa sehem yake,hakikisha imeloada na kufika 100% na utaona tik kubwa hapo chomoa simu yako washia kwenye recovery mode kisha nenda kasakinishe[install]ile Super Su baada ya hapo anzisha[reboot]simu yako na unakuwa umemaliza kazi.
 
Kuroot MTK ni kujikaribishia majanga tu.
 
Ninatumia ZTE Z970 msaada namna ya kuroot,maana ina apps nyingi inayokuja nayo sisipendi hata kuona,natanguliza shukurani
 
Ukisha root then unafanyia nini hio root. Binafsi naona rooting is useless kwa sasa hasa kama hio simu ina android nougat pre-installed. Sasa kuna app gani ambayo itagoma humo kwa mtumiaji wa kawaida wa simu hadi ahitajie ku root?
 
Ningependa kukuelewa unamaanisha nini ili tutembee pamoja,
 
Ukisha root then unafanyia nini hio root. Binafsi naona rooting is useless kwa sasa hasa kama hio simu ina android nougat pre-installed. Sasa kuna app gani ambayo itagoma humo kwa mtumiaji wa kawaida wa simu hadi ahitajie ku root?
Pole sana
 
Back
Top Bottom