Msaada AVG antivirus. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada AVG antivirus.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Jaguar, Oct 13, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wakuu nimejaribu ku-install AVG antivirus kwa laptop yangu.Nimeweka license key lakini katika process ya ku-install naona inaandika copying files since yesterday(tar 12) mpaka hivi sasa(tar 13) bado inaandika copying files mpaka sasa.Naomba mnitoe ushamba kuhusu hili,hivi ndo AVG antivirus inavyo-install kwa kuandika copying files au kuna namna nyingine?Na hii file copying process mbona inachukua muda mrefu sana?Halafu mbaya zaidi haiandiki progress percentage wise!
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Naona tayari wameishtukia 'wenye mali' Hii pia ilishanitoke, nilikuwa na AVG free antivirus ambayo nilikuwa ninai-update kawaida tu bila matatizo, siku moja nikajifunza jinsi ya kupata serial key za wizi hapa jf, nilipoziweka ngoma ikakubali nilishangilia mtaa mzima, siku nilipoamua kui-update yaliyonikuta sitasahau! Nadhani tatizo lilonipata ni kama lako.
   
 3. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hapana mkuu,'ukisema wenye mali' wameishtukia unamaanisha labda nime-forge license keys,mimi ndo kwanza nimenunua mzigo toka kwa dealer.
   
 4. a

  asif JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 335
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0

  1.maybe your system is infected with virus. jaribu kudownload bootable avg then burn cd halaf in boot na uscan for virus..

  2. au download cc cleaner and try to clean registry na junk files

  3. au jaribu kuangalia if you already have another antivirus.

  just helping....
  cheers.
   
 5. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Thanks for helping me your majesty.
   
Loading...