Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Wakuu nimejaribu ku-install AVG antivirus kwa laptop yangu.Nimeweka license key lakini katika process ya ku-install naona inaandika copying files since yesterday(tar 12) mpaka hivi sasa(tar 13) bado inaandika copying files mpaka sasa.Naomba mnitoe ushamba kuhusu hili,hivi ndo AVG antivirus inavyo-install kwa kuandika copying files au kuna namna nyingine?Na hii file copying process mbona inachukua muda mrefu sana?Halafu mbaya zaidi haiandiki progress percentage wise!