Msaada au mawazo ya kibiashara msaada tutani

Teja Junior

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
1,740
Reaction score
1,597
Nilikua naomba msaada wa kimawazo Mimi in kijana nataka kuazisha biashara hapa mtaani kwangu na biashara nayotaka kuanza nayo vifaa vya simu na laptop ila Sana Sana vifaa vya simu Kama unavyo jua simu inavitu vingi na vifaa vya kompyuta vipo vingi kwahiyo naomba Msaada wa kimawazo vitu vya msingi kuviweka dukani Nina Kama kiasi cha milioni 5 hivi mkononi naomba Sana mawazo yenu vitu gani vya msingi kuweka Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…