Msaada: Asili yangu inanishangaza

tafuta pesa, acha ujinga.
 
1. Cheki mpira vibanda umiza au nenda Taifa.
2. Nenda Bar au pool table
Mathalani mm hivi vitu vimenishinda kabisa na hata nikijilazimisha hua naona kama nimejipa adhabu mbaya sana ishu za technology na intelligency ndio hua na_enjoy, personal pombe nimekunywa sana ila ikafika kipindi nimekua si enjoy kabisa kwanza zimenikataa nikinywa siyumbi hata bia 7 hunikuti nikiyumba ila kimbembe ni kesho yake hua napata mateso mpaka nashindwa kuamini kama ni pesa zangu zinanifanya vile nikazipiga chini starehe imehamia kwenye kusoma na pia nipo kwenye mazoezi ya ku_socialize japo hua nafeli mara nyingi
 
Hakuna tatizo ndivyo ulivyo. We jitenge tu mkuu kwanza Dunia imejaa kelele mno.
Sanaa
Kama ela ya kula ipo, maisha yanaenda hana njaa njaa za hovyo ajitenge tu.
Sema tu asikae ndani
Atafute tu mitaa flani awe anapata hewa safi ..yaliyobaki hakuna baya kabisa!
Mimi ningekua nawez ningeendaga kukaa porini jinsi wanadamu walivyonikifu.
 
Mambo mrembo
 
Kusoma vitu kunakufanya uzungumze na nafsi yako. Sioni kama una tatizo ila upo selective
 
Ndo ulivyo....kaa ivoivo huko nje watu wanoko kweli...usnitch sana
 
from your calmest mind...inaweza kuwa kinajengeka kitu kizuri au kibaya. Anza kusoma vitabu vya neuroscience ukimix na kusoma hivyo dini unakuwa mtu special sana.

Anza na hivi.
1: Power of subconscious mind by Murphy
2: Why we do what we do,
3: The power of Neuroplasticity
5: Law of attraction
 
Unachosema ni kweli,niliona documentary moja mtoto alikuwa na tabia kama hizo wazazi wakampeleka kwa mwanasaikolojia akawaambia ni wa kike ndani ya mwili wa mtoto wa kiume, yaaani hii dunia.!sasa hivi anavaa mavazi ya kike
 
Unachosema ni kweli,niliona documentary moja mtoto alikuwa na tabia kama hizo wazazi wakampeleka kwa mwanasaikolojia akawaambia ni wa kike ndani ya mwili wa mtoto wa kiume, yaaani hii dunia.!sasa hivi anavaa mavazi ya kike
Wale watu wa upinde wakiona upo tofauti kidogo na watu wengine wanapush agenda zao hapohapo
 
Huo si ndio ule ugonjwa wanaita nini sijui.... Wanaitaja taja sana. Kuna jamaa yangu ya mtoto mdogo WA kama 6 years yuko hvy hvy hata shuleni yeye anakaa alone tu anacheza peke yake. It's like yuko kwenye ulimwengu WA peke yake tu
 
Niseme hv kama wewe ni mkatoliki unafaa kuwa padre.
 

Una macho meupe ukiambiwa uvute bangi utaki!,sasa hilo jini mahaba litakutoka vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…