1. Hakikisha settings , security , devise administrators, install from unknown sources is off ( Usiweke tiki)
2. Install kespersky antiviurs then scan simu
3.Antiviurus itaua virus lakini wengine wanaweza kugoma kwa sababu wamingia kama main app.
4. Ikiwa hivyo install system app unistaller halafu select hizo apps zilizogoma. Unistall ... voila.
Btw ulisha root simu yako? Jaribu ukishindwa niambie.