Msukuma 94
Senior Member
- Apr 21, 2017
- 133
- 91
Habari za mda huu wanaJF naomba kujua idadi ya machaguo inayopaswa kufanywa maana NACTE waliniletea message kua niongezee 5000/= wakati najaribu kuweka second program.
HahahaHabari za mda huu wanaJF naomba kujua idadi ya machaguo inayopaswa kufanywa maana NACTE waliniletea message kua niongezee 5000/= wakati najaribu kuweka second program.
kama ukitaka kuweka kada nyingine, unalipa.Habari za mda huu wanaJF naomba kujua idadi ya machaguo inayopaswa kufanywa maana NACTE waliniletea message kua niongezee 5000/= wakati najaribu kuweka second program.