MSAADA; Application gani naweza kutengeneza VIDEO LYRICS

MSAADA; Application gani naweza kutengeneza VIDEO LYRICS

Johnny Sins

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
2,536
Reaction score
3,887
Habari ya muda huu. Nilikuwa nauliza ni application gani naweza kutumia kutengeneza VIDEO LYRICS kama hizi
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20211229_134330_958.JPG
IMG_20211229_134357_277.JPG
IMG_20211229_134345_677.JPG
 
After effects ni much better ila learning curve ni kubwa.

Kama unataka kutengeneza advanced kinect typography ama lyrics simple tumia powerpoint yenyewe ni rahisi.

Powerpoint hasa inayopatikana kwenye office 365 ina morph feature ambayo inakufanya kuandika na kupangilia maneno kadri unavyotaka bila ujuzi mkubwa.
 
Back
Top Bottom