Msaada App ya kufuatilia Simu

Msaada App ya kufuatilia Simu

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,079
Reaction score
4,893
Wadau nina Mtu nimemwajiri na nimempa Simu kwa Matumizi ya Ofisi.Naomba Kufahamisha App gani itanisaidia kujua anachopata kwenye Simu kuhusu Biashara yangu nina Hofu ya kudanganywa
 
Inategemeana unataka ku track nini?

1.Sms za kawaida
2.Sms za Whatsapp
3.Sms za messenger

Kuna App inaitwa true spy ila huwa inalipiwa inafanya kazi vizuri

Kwa upande wa App ya bure kwa Whatsapp WhatsApp tumia WhatsApp web ni nzuri na ni free

Kwa upande wa messenger unaweza log in messenger yake kwenye simu yako

Ila hiyo ya kulipia naona ndio the best maana inabeba vyote
 
Sababu kitu ni official ulitakiwa kuseti software ya ofisi kabla hujamkabidhi simu, sasa hivi simu anayo yeye ni ngumu, unless u mwambie airudishe ndio uweke.
 
Pia weka google account unayoijua ww.. utaweza kuona utopolo mwingi anaoufanya akiwa na simu.
 
Inategemeana unataka ku track nini?

1.Sms za kawaida
2.Sms za Whatsapp
3.Sms za messenger

Kuna App inaitwa true spy ila huwa inalipiwa inafanya kazi vizuri

Kwa upande wa App ya bure kwa Whatsapp WhatsApp tumia WhatsApp web ni nzuri na ni free

Kwa upande wa messenger unaweza log in messenger yake kwenye simu yako

Ila hiyo ya kulipia naona ndio the best maana inabeba vyote
Vipi Bei zake mkuu
 
Naomba namna ya kufanya hiyo Whasapp web na messenger
 
Tafuta mtu utakayekuwa tayari kumwamini. Kuongozi mzuri hafanyi micro management. Mfundishe kazi, weka process za kazi, set KPI na milestones na hakikisha anajua biashara inaelekea wapi na nini ni sehemu yake katika maono hayo.

Mpime kwa hayo na sio kwa kumfuatilia kama DCI Jr. Kama hawezi tafuta mtu mwingine!
 
Huyo mwanamke amuache tu. Kitu kizuri kula na ndugu zako
 
Back
Top Bottom