Nimenunua Anti-virus aina ya Kaspersky 2014 Internet security (3-user), Nimeinstall . Cha ajabu nilipo-apdate imechukua muda mrefu sana mwisho inaniandikia ujumbe huu 'Data base are out of date !
Hata mimi nimeshakutana na tatizo kama hilo kwa hizi za 2014 nikarudie tena ku-update kama mara nne mwishowe nikaitoa na ku-install upya lakini bado inaleta status ya out of date wakati inaji-update mpaka kufika 100%.