Wana body habari zenu, heshima kwenu sana ,nimelazimika kukimbilia jukwaa Hili kwaajili ya msaada nahitaji Ku download ant virus ambayo itakuwa nzuri kwa windows 7 Ultimate pia naomba na link pa Ku download hapo awali nilikuwa natuma kickass sasa yamenikuta mwenzenu
Asanteni.