Wakuu inawezekana ku-force app inayotumika katika katika Android version 4.4 itumike kwenye Android version 4.2.2?
Kama inawezekana naomba msaada tafadhali.
Mkuu android 4.2, 4.4 bado unatumia leo hii kwenye android 11?Wakuu inawezekana ku-force app inayotumika katika katika Android version 4.4 itumike kwenye Android version 4.2.2?
Kama inawezekana naomba msaada tafadhali.
Labda ni developer anataka atengeneze app inayofit huko.Mkuu android 4.2, 4.4 bado unatumia leo hii kwenye android 11?
Jitahidi mkuu usogee hata Android 7 au 8 mkuu.
Kama ni developer atakuwa ana idea ya android emulatorsLabda ni developer anataka atengeneze app inayofit huko.