msaada android bila ya play store

msaada android bila ya play store

Android pia unazipata siftwares almost zote za Android ingawa hii inatumia lugha ya kichina lakini ni user friend kuitumia
 
mimi siyo mtumiaji sana wa vodacom hasa kwenye simu...lakini nilisikia tu kuna matatizo ya net kwa kipindi flani hv....lakini nadhani tatizo ni ubora wa huduma ya net unayopatiwa.Ila pia kama unahisi kuna matatizo mengine yametokea katika simu yako katika hcho kipindi...waweza ukadownload app yoyote utayoweza fanya backup kisha ukarestore factor simu yako ili iweze kujirudi katika hali yake nzuri kisha ukarestore all apps installed before...

Shukrani kwa ushauri #Abloodi , ntajaribu japo sio mjuzi sana wa haya mambo. Tatizo ninaloliona ni kuwa ntashindwa kudownload App ya kufanyia backup mkuu(Play Store haifunguki), labda nijaribu kwa kutumia Opera kama alivoshauri Mkwawa. Yakinishinda ntawapelekea wajuzi wa hivi vitu.
 
Samahan Chief-Mkwawa & others, natumia galaxy gt-s7562.
Tatizo ni kuwa Play Store sasaivi haifunguki(inanipa ujumbe "connection timed out"), Youtube, Internet, JF, fcbk zote zinagoma. Only Opera, WhtsApp & Twitter zinafunguka.
Kuhusu network mara nyingi naweka 3G. Kwa experience ulonayo, simu ina tatizo gani na suluhisho ni nini?
Nawasilisha.

ukieka line ya voda automatic inaji activate wap (badala ya internet) ndio maana umepata hilo tatizo. opera na whatsapp wanakubali wap ila service za google hazikubali kusolve hilo tatizo inabidi utengeneze apn (access point name) ya internet

bonyeza menu then setting then kwenye wireless and network nenda mobile networks kisha click click apn

utaona kuna voda wap na mms bonyeza button ya menu chagua new apn
kwenye connection name andika chochote
kwenye apn andika internet

turn back then activate setting zako ur done
 
kicha Kuna baadhi ya simu badala ya kuwa playstore inakuwa MARKET hadi ifanye update
 
Last edited by a moderator:
Maranyingi simu zisizokuwa na playstore n maalumu kwaajili ya kutumua china. Inakuwa haina playstore wala gmail chakufanya download kwakutumia browser utapata aplication unayoitaka na itafanya kazi.

ndea nijuavyo mimi kama simu ya android ni kwa ajili ya matumizi ya China, basi huwekwa App Center, ili mtu aweze kupata benefit zinazofanana na play store.
 
Last edited by a moderator:
ndea nijuavyo mimi kama simu ya android ni kwa ajili ya matumizi ya China, basi huwekwa App Center, ili mtu aweze kupata benefit zinazofanana na play store.

Ila tatizo la hii app center ipo katika lugha ya kichina
 
Last edited by a moderator:
ukieka line ya voda automatic inaji activate wap (badala ya internet) ndio maana umepata hilo tatizo. opera na whatsapp wanakubali wap ila service za google hazikubali kusolve hilo tatizo inabidi utengeneze apn (access point name) ya internet

bonyeza menu then setting then kwenye wireless and network nenda mobile networks kisha click click apn

utaona kuna voda wap na mms bonyeza button ya menu chagua new apn
kwenye connection name andika chochote
kwenye apn andika internet

turn back then activate setting zako ur done

Shukrani nyingi sana zikufikie mkuu #Chief-Mkwawa . Ni kweli ilikuwa kwenye WAP, nimefuata hizo hatua ulizoelekeza. Tatizo limetatuliwa, na comment hii nimeiandika kupiti Internet(ilokuwa inagoma) not Opera.
Kweli hapa JF pana mambo mazuri

cc ndg #Abloodi .
 
salam wakuu .
nimepokea zawadi ya cm aina ya SAMSUNG galaxy wonder. ni android 2.3.6 cha ajabu haina icon ya market wala play store so siwezi kudownload apps kutoka google . ila whatsapp iliwezekana kwa kufosi. ni kama haijkua registered hivi . kwa mwenye uelewa anisaidie tafadhali nimezoea free apps frm play store so kumis naona kama nimepungukiwa hivi .

Nimekutana na kichina yaani sijajua wapi wananimbia download na wapi wananimbia cancel!
 
ukieka line ya voda automatic inaji activate wap (badala ya internet) ndio maana umepata hilo tatizo. opera na whatsapp wanakubali wap ila service za google hazikubali kusolve hilo tatizo inabidi utengeneze apn (access point name) ya internet

bonyeza menu then setting then kwenye wireless and network nenda mobile networks kisha click click apn

utaona kuna voda wap na mms bonyeza button ya menu chagua new apn
kwenye connection name andika chochote
kwenye apn andika internet

turn back then activate setting zako ur done

Umetisha mzee! !
 
Mm Kudownload App From Playstore N marachache sanaaaa!!! Nenda Google Mfano Unataka Instagram Andika Instagram.apk utaletewa Sehem za kudownload app hyooo. Ila Lazma u alow app from unknown source ...

Do it for ur own risk
 
Back
Top Bottom