msaada android bila ya play store

msaada android bila ya play store

kicha

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
590
Reaction score
830
salam wakuu .
nimepokea zawadi ya cm aina ya SAMSUNG galaxy wonder. ni android 2.3.6 cha ajabu haina icon ya market wala play store so siwezi kudownload apps kutoka google . ila whatsapp iliwezekana kwa kufosi. ni kama haijkua registered hivi . kwa mwenye uelewa anisaidie tafadhali nimezoea free apps frm play store so kumis naona kama nimepungukiwa hivi .
 
Very xmple.. Download kwa kutumia Pc au Unaweza ukatumia Browser ya smu yako ukasearch setup{a.p.k } yake ukaidownload .. Na ukistal vzur tu
NB..kama syo mchna
 
nliwahi kusoma somewhere kua huwezi kudownload na kuinstall setup yake
 
then siku hizi kuna store nyingi ipo ya opera, getjar, amazon, 1market na nyengine nyingi.
 
'Huyo' simu 'atakuwa' mchina wa uchochoroni...
 
unaweza ndio sema sio nzuri kama playstore.

Samahan Chief-Mkwawa & others, natumia galaxy gt-s7562.
Tatizo ni kuwa Play Store sasaivi haifunguki(inanipa ujumbe "connection timed out"), Youtube, Internet, JF, fcbk zote zinagoma. Only Opera, WhtsApp & Twitter zinafunguka.
Kuhusu network mara nyingi naweka 3G. Kwa experience ulonayo, simu ina tatizo gani na suluhisho ni nini?
Nawasilisha.
 
watu weng maeneo tuliopo n xawa tuna acess ya internet lakn hatujui uwezo wake..playstore mara nyng haiitaji network ya kusuasua nandomaana inazngua..pia Kuactivate 3G syo kwamba xmu yako itashka 3G.Inaweza kuwa inaonesha ndyo 3G lakn kumbe n 2G kulngana na network huska ktk kuprovde hyo huduma ya net..Kwa hyo kaa ukjua hlo xyo tatzo la xmu n network ynyw. Sjajua unatumia net ip na upo mkoa gan ?
 
Nipo Morogoro mjini, notification huwa inaonesha H-nadhani ni HSDPA(natumia Vodacom) na kwenye Opera baadhi ya shughuli ikiwepo downloads huwa ziko faster. Kinachonishangaza ni kuwa siku za nyuma nikiwa mji huu huu niliweza kuinstall hizo Apps na zote nilikuwa nazitumia & kuzi update(sidhani kwa network ya kusuasua ningefanikisha hayo yote Ndugu Abloodi), kwanini mambo yanaenda mrama since mid-August!!!!!
 
Ushauri wako ni mzuri.......

Tatizo ni uandishi wako, kumbuka ujumbe wako unasomwa na maelfu ya watu wa rika tofauti.!!
 
Nipo Morogoro mjini, notification huwa inaonesha H-nadhani ni HSDPA(natumia Vodacom) na kwenye Opera baadhi ya shughuli ikiwepo downloads huwa ziko faster. Kinachonishangaza ni kuwa siku za nyuma nikiwa mji huu huu niliweza kuinstall hizo Apps na zote nilikuwa nazitumia & kuzi update(sidhani kwa network ya kusuasua ningefanikisha hayo yote Ndugu Abloodi), kwanini mambo yanaenda mrama since mid-August!!!!!

mimi siyo mtumiaji sana wa vodacom hasa kwenye simu...lakini nilisikia tu kuna matatizo ya net kwa kipindi flani hv....lakini nadhani tatizo ni ubora wa huduma ya net unayopatiwa.Ila pia kama unahisi kuna matatizo mengine yametokea katika simu yako katika hcho kipindi...waweza ukadownload app yoyote utayoweza fanya backup kisha ukarestore factor simu yako ili iweze kujirudi katika hali yake nzuri kisha ukarestore all apps installed before...
 
Maranyingi simu zisizokuwa na playstore n maalumu kwaajili ya kutumua china. Inakuwa haina playstore wala gmail chakufanya download kwakutumia browser utapata aplication unayoitaka na itafanya kazi.
 
Back
Top Bottom