Msaada anayekijua chuo kikuu mbarara kilichopo uganda

brucella

Member
Mar 15, 2019
69
71
Habari za jioni wana JF, naombeni msaada wa maelezo kwa wenye uzoefu, hususani mazingira kwa wanafunzi wa East Africa ambao si waganda, ubora wa elimu, ada ,hali ya maisha na vigezo vya kujiunga na chuo kikuu cha Mbarara kilichopo uganda.

Nina ndugu yangu kasoma dip.ya medicine (clinical officer) alikuwa yuko interested kwenda kusoma degree of medicine kwenye chuo hicho baada ya kupata taarifa kwa rafiki yake. Ila kwa sasa hivi huyo rafiki yake hapatikani maana yeye kaenda kusoma nje kwa hiyo imekuwa ngumu kupata taarifa kwa kina.

Nimejaribu kuingia kwenye website ya chuo hicho, kuna baadhi ya information sijazipata.
So, kama kuna mwanaJF ambaye ana uzoefu na chuo hiki naombeni taarifa
Natanguliza shukrani za dhati.
 
Ulifanikiwa
 
uliishia wap
 
Back
Top Bottom