Msaada anayejua STS Prepayment System kuhamishia token kwenye submeter

Msaada anayejua STS Prepayment System kuhamishia token kwenye submeter

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,034
Reaction score
2,126
Wakuu naombeni msaada wa STS Vending System kuhamisha token kuingiza kwenye sub meter, password tuliyokua tunatumia na user name naona serikali imebadilisha na hawasemi kitu.
 
Nimefanikiwa kupata msaada lakini ilebya free wameondoa kwa sasa ipo ya kulipoa unapoweka Luku kwenye submetre ambapo wanakata 2% ya kiasi unachonunua kwa kupitia hii link

 
M NATAFUTA INAYOKATA UMEME YENYEWE DAH WAPANGAJI NIMECHOKA NA SIMUZAOOO
 
Back
Top Bottom