Msaada anayeijua Zodiac Africa Ltd

Msaada anayeijua Zodiac Africa Ltd

subiri ukipata hyo kazi watakupigia wakuelekeze walipo
 
Niliomba kazi hapo lakini sijajua kampuni ipo wapi

nami ni moja wa walio apply,nimepigiwa simu leo na kuambiwa natakiwa nianze kazi jumatatu ijayo..kama narudia tena kama nitawatumia elfu 80 kwa ajili ya uniform pea mbili maalum kwa hiyo kazi ya customer care....sikufikiria mara mbili kumbe ni wale wa kwetu!
 
Yani na mimi wameniambia hivyo hivyo ni wezi hap
 
Tabou hao zodiac cjui ctaki hata kuwasikia et wamenipigia wamenambia watanisaidia kupa kazi kwa 350000 nitakungulize 100000 then tarehe16 niende na vyeti orijino kusaini mkataba wa kazi na kiac cha fedha kitakachobaki yaani wamenikwaza kwa kweli coz they are playing with our minds
 
Back
Top Bottom