nenda dogo iko poa!kwn comb gn?pcb,cbg na pcm ndio nilizoziacha 2010 pale!ila juhudi binafsi zinahitajika sana ili kufaulu,lkn mzingira yanafevour coz ipo krb na town,namapindi kitaa kama kawa,kunamchizi m1 anaitwa ishu boy kwa chemistry a-level mzr!masiku physics yuko poaaaaa!ukifika kakae bweni latembo karibu naparade,uwanjani,DH,namadarasani!hongera kijana kakomae watu tumetoka vzr naza6 zetu pcb!
wamen2pa pcm bt plan zangu zko pcb bro so ntachange soon nkfka pande hzo. Thanx
Wao wanaita People Calculating Mathematicts(PCM)by the way nilikuwa kwenye intake ya kwanza kuingia na mbuni kiungani(1989 to 1992)waheshimiwa wengi(including ME)tulikuwepo hapo,karibu kwenye uheshimiwa ila mbuni iwe marfuk
Nimekumbuka sana shule yangu Tanga school.Tembo bweni langu, kuna chui , simba, faru, twiga, mbuni.Mitaa ya Njeka , makororora, sahare nk. Usiku Baikoko mtaani kama kawa. Maticha kama Masiku kichwa sana wa physics amenitoa.Miss sana Tanga school
sio Njeka ni Kwanjeka
vp mwalimu kijaz bdo yupo? long tyme sna pale bwen la chui dah n shda..
Ha ha ha. Kijazi discipline teacher