N naomba kazi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 253 Reaction score 213 Mar 18, 2019 #1 Habarini za jioni hii wana JF Nimeitwa kwenye interview na hiyo kampuni Naombeni kujua machache kuhusu hiyo kampuni ili kunijenga kiushawishi kwenye interview kwa position ya 'Tracking Officer' 1. Maswali gani ya kujua kwenye hiyo position kulingana na kampuni husika? 2. Mshahara wao upoje kwenye iyo position? 3. Na mengineyo ya nyongeza kama yapo! Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa Asanteni na karibuni
Habarini za jioni hii wana JF Nimeitwa kwenye interview na hiyo kampuni Naombeni kujua machache kuhusu hiyo kampuni ili kunijenga kiushawishi kwenye interview kwa position ya 'Tracking Officer' 1. Maswali gani ya kujua kwenye hiyo position kulingana na kampuni husika? 2. Mshahara wao upoje kwenye iyo position? 3. Na mengineyo ya nyongeza kama yapo! Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa Asanteni na karibuni
N naomba kazi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 253 Reaction score 213 Mar 18, 2019 Thread starter #2 Karibuni
Hanitoni JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,146 Reaction score 990 Mar 18, 2019 #3 Interview lini??hivi umajua mambo ya logistics??tracking??? Sent using Jamii Forums mobile app
N naomba kazi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 253 Reaction score 213 Mar 19, 2019 Thread starter #4 Hanitoni said: Interview lini??hivi umajua mambo ya logistics??tracking??? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tricking najua logistics sina nayo uzoefu
Hanitoni said: Interview lini??hivi umajua mambo ya logistics??tracking??? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tricking najua logistics sina nayo uzoefu
N naomba kazi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 253 Reaction score 213 Mar 19, 2019 Thread starter #5 Countrywide said: Nawafaham vizuri sana, wapo kurasini-mandela road Ila hapo kuna uswahili flani hivii, bye the way kila la heri MD wao ni mtu powa sana anaitwa al-karim dawood Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ebu nidadavulie vizuri mkuu
Countrywide said: Nawafaham vizuri sana, wapo kurasini-mandela road Ila hapo kuna uswahili flani hivii, bye the way kila la heri MD wao ni mtu powa sana anaitwa al-karim dawood Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ebu nidadavulie vizuri mkuu
N naomba kazi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 253 Reaction score 213 Mar 19, 2019 Thread starter #6 Karibuni