Nafanya tafiti binafsi naomba kufahamu kwa majina waliothibitika na kufungwa kwa makosa ya rushwa. Iwe ni rushwa hasa. Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
No clear.Yule mgiriki Pappirus aliyecharazwa viboko na kufungwa kwa kusema "serikali yote ya Nyerere iko mfukoni mwangu".
Sent using Jamii Forums mobile app
Sumaye na Lowasa
Ingia kwenye website ya TAKUKURU yapo. www.pccb.go.tzNafanya tafiti binafsi naomba kufahamu kwa majina waliothibitika na kufungwa kwa makosa ya rushwa. Iwe ni rushwa hasa. Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mabasha wako?Sumaye na Lowasa
Tofautisha kua mahabusu v/s kufungwaRais wa TFF yuko mahabusu... na we jamaa waliokua wanafagia barabara sijui ni kina yona
Sent using Jamii Forums mobile app