Msaada : Anayefahamu bookshop nzuri ya vitabu vya a level mwanza

markbusega

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
826
846
Habari wanajukwaa wote!

Anayefahamu maduka ya vitabu vizuri vya science Mwanza ninapoweza kupata vitabu vifuatavyo na gharama zake niandae bajeti:

1.Biological science (BS)
2.Organic chemistry vya TIE (1 &2)
3.Conceptual chemistry vol xi etc by chande
ABC (MODERN Chemistry na biology)

Nitafurahi kama utanisaidia kupata vitini vifuatavyo

Chemistry vya ngaiza, mandia, lusima na unga
natanguliza shukrani wanajukwaa
 
habari wanajukwaa wote!

anayefahamu maduka ya vitabu vizuri vya science mwanza ninapoweza kupata vitabu vifuatavyo na gharama zake niandae bajeti:
biological science (BS)
organic chemistry vya TIE (1 &2)
conceptual chemistry vol xi etc by chande
ABC (MODERN Chemistry na biology)

nitafurahi kama utanisaidia kupata vitini vifuatavyo

chemistry vya ngaiza,mandia,lusima na unga
natanguliza shukrani wanajukwaa
Nenda hapo Kituo cha Daladala Kemondo, ulizia duka linaitwa VICTORIA EDUCATIONAL PROMOTION CENTRE. Utapata vyote hivyo kwa bei poa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom